• Latest News

  September 06, 2016

  Lipumba asema yeye ni bora zaidi ya Lowassa Ukawa


  Ni katika kipindi cha Morning Trumpet asubuhi ya leo Prof alipoulizwa ni kwa nini alikuwa mpinzani wa kwanza kumtembelea na kumpongeza Rais Magufuli baada ya kuchaguliwa?
  Professa alijibu bila mashaka kuwa Rais Magufuli anamkubali kwa kubeba agenda ambayo ndiyo iliyokuwa ikiwapa kiki wapinzani. Kwa sasa vyama vya upinzani vinaweza kabisa kupotea visipojipanga vizuri.

  Hili linathibitishwa kwa mfano na mabadiliko yaliyoletwa na Lowasa ndani ya CHADEMA. Tangu Lowasa alivyoitwaa CHADEMA sijawahi sikia CHADEMA ikikemea UFISADI, sanasana wamegeuka watetezi eti Magufuli anawaonea mafisadi.

  Hongera Professa!! wewe na Dr Slaa ndio mmethibitisha kuwa ni wapinzani wa kweli ambao lengo lenu ni maslahi ya taifa na sio wengine ambao lengo lao kwa sasa hata halijulikani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Lipumba asema yeye ni bora zaidi ya Lowassa Ukawa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top