Header Ads

Mama wa Mangwea awa Kivutio Fiesta Moro


belle-9
belle-9
Mwanamuziki staa wa Bongo Fleva, Belle 9,  akifanya yake stejini wakati  wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro  usiku wa kuamkia leo. 
img_1580
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo hiyo.
mama-ngwea
Mama yake Ngwea, Neema Albert,  akiongea jambo na mashabiki (hawapo pichani).
img_1546
Mashabiki wakimsikiliza mama yake  Ngwea.
stamina
Staa wa muziki wa Hip Hop  Bongo, Stamina a.k.a Shorwebwenz,  akifanya yake.
ben-pol Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol,  akiimba na mashabiki wimbo wa Moyo Mashine.ben-pol
...Akiendelea kuimba na mashabiki.
blue byser
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer 'Mr Blue',  akiwapa raha mashabiki wa Fiesta.
chege
Chegge akitoa burudani.
christian-bella
Mkali wa 'masauti',  Christian Bella,  akifanya yake.
darasa
Msanii wa Bongo Flava Rap na Hip Hop,  Darassa,  akitambulisha ngoma yake mpya inayoitwa Too Much kwa wakazi wa Morogoro.
dully
Staa wa Bongo Fleva, Dully Sykes,  akifanya yake.
nandy
Nandy akiongea na mashabiki wake.
maua
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama,  akionyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaaa la Fiesta
sholo-mwamba
Shalo Mwamba akifanya yake.


No comments