• Latest News

  September 14, 2016

  Man Fongo:Mimi na Snura Wazungu

  STAA wa Muziki wa Singeli, Amani Hamisi ‘Man Fongo’ ambaye picha yake akiwa amemkumbatia Snura Mushi imezua gumzo, amesema yeye na mkali huyo wa Kibao cha Majanga ni marafi ki wanaoishi Kizungu, hivyo watu wasishangae ikitokea siku akambusu sehemu yoyote.
   

  “Snura ni dada yangu sana na mama yangu pia, ila undugu wetu ni wa Kizungu zaidi, usishangae siku nyingine kuniona nambusu sehemu yoyote
  maana mama akipika huwa tunafunua, kama ilivyo kwa shemeji kwamba hainaga ushemeji, tunakulaga,” alisema. Kwa upande wake, Snura aliiambia Za Motomoto News; “Man Fongo ni mwanangu, ananiita mama na ile picha tulipiga tukiwa studio na aliamua tu
  kunipakata, lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi wala nini.”
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Man Fongo:Mimi na Snura Wazungu Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top