• Latest News

  September 09, 2016

  Mwanamke Mdogo Mwenye Ndevu Ndefu Zaidi Duniani

  mwanamke-2Harnaam Kaur (24) ameshinda Guinness World Records kwa kuwa mwanamke mdogo mwenye ndevu ndefu zaidi duniani ambapo ndevu zake zina urefu wa inchi 6.
  Miss. Kaur ana tatizo la mfumo wa ovari (polycystic ovary syndrome) zinazotengeneza hormoni za uzazi na kusapoti mabadiliko ya ukuaji wa mwanamke, ambapo tatizo hilo humfanya mwanamke aote nywele ndefu za ziada sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo ndevu kama anavyoota mwanamme.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mwanamke Mdogo Mwenye Ndevu Ndefu Zaidi Duniani Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top