• Latest News

  September 19, 2016

  SAIDA KAROLI AMPONGEZA DIAMOND PLATINUMZ KWA NGOMA MPYA

  Diamond Platnumz afanya kweli tena na amsha amsha katika harakati za hapa na pale kuleta mabadiliko katika hili game akiachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Rayvanny hivi karibuni. 

  Ngoma hiyo ambayo ina matoleo mawili tofauti moja likiwa na mahadhi ya kiasili na lingine likiwa na midundo ya kukata na shoka ya kuchezeka klabu. Ikienda kwa jina la “Salome” ngoma hiyo imetungwa na mkali Diamond Platnumz pamoja na Rayvanny kutoka kwenye nyimbo halisi “Maria Salome” iliyoimbwa na mwana dada Saida Karoli. 

  Saida Karoli mwenyewe amewakibali Wasafi kwa hii

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SAIDA KAROLI AMPONGEZA DIAMOND PLATINUMZ KWA NGOMA MPYA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top