Header Ads

Tamasha la Tigo Fiesta Lafana Mjini Singida


TAMASHA la Tigo Fiesta liliendelea Mkoa wa Singida usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Namfua Stadium. Wasanii waliotoa burudani ni Nuh Mziwanda, Shilole, Mr Blue, Niki wa Pili, Nandy, Ben Pol na Jux na wengine wengi. shilole-huyu
Staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed 'Shilole', akiongea na mashabiki wake Uwanja wa Namfua usiku wa kuamkia leo katika tamasha la Tigo Fiesta.
shilole1
Shilole akicheza sebene na shabiki wake.
img_8993
Mashabiki wakiendelea kumshangilia Shilole (hayupo pichani)
img_9060
Shabiki akiendelea kujiachia na Shilole. shishi-baby
Shilole akiendelea kufanya makamuzi.
jux jux1
Msanii wa Bongo Fleva, Jux,  akiimba wimbo wake mpya wa Wivu.
nuh-mziwanda
Mkali wa wimbo 'Jike Shupa' Nuh Mziwanda akifanya yake.
nuh
Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki zake.
nikki-wa-pili
Msanii wa Bongo Fleva, Niki wa Pili, akitoa burudani.
nandy
Staa wa Bongo fleva, Nandy (katikati) akicheza na wacheza shoo wake.
img_9036  Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Kheri Sameer, maarufu kama Mr Blue akiimba ngoma ya Mboga Saba.byser-mr-blu
...Akiongea na mashabiki.
tox-star-akitumbuiza
Juma Saidi aka 'Tox Star' akifanya yake.

No comments