• Latest News

  September 22, 2016

  Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa


  Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil 75 kama gharama za yeye kutokea kwenye video lkn WCB walitaka kutoa mil 50 ndipo aliposhauriana na uongozi wake na kuamua kukataa.

  "Ni kweli ningetokea kwenye video hiyo lakini walitoa pesa madafu,kaka mtangazaji siwezi kuuza sura kwa mil 50,ebu fikiria nimetumia karibia bilioni kutengeneza jina langu,nina biashara za mamilioni,leo Nassib anataka kunipa mil 50,that is not fair kwa kweli"

  Mdau yapi maoni yako kuhusu gharama za huyu mlimbwende?
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wema: Nilitaka mil 75 kuwa Salome, WCB wakanipa mil 50 nikakataa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top