Header Ads

WILSHERE AZITEMA AC MILAN, ROMA ATUA BOURNEMOUTH


Kiungo Jack Wilshere amekamilisha uhamisho wa mkopo kwa kujiunga na klabu ya Bournemouth.

Wilshere ameilazimu timu yake hiyo mpya kutoa pauni million 2, pia atakuwa akilamba mshahara wa pauni 80,000 kwa wiki kama kawa.


Awali alikuwa akitakiwa na klabu kubwa za Italia ambazo ni Roma na AC Milan lakini England pia Crystal Palace ilionyesha kumtaka kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24.

No comments