• Latest News

  September 13, 2016

  Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti


  WASANII wawili ambao ni wapenzi wanaogonga vichwa vya habari Bongo, Jaqueline Wolper na Rajab ‘Harmonize’ wikiendi iliyopita wamekula bata kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.
  Wawili hao waliondoka Dar es salaam Jumamosi wiki iliyopita na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja na Raymond Jumatatu ya sikukuu ya Eid (jana)  kwa ajili ya show Mkoani Tanga.xww-jpg-pagespeed-ic-h2f9acl8o0 hh-1 ommy-1 q1 qeeeeeeeeeee wd wdqs

  Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana Harmonize.
  Kwa upande wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Tour ambayo iliwapeleka ameandika:
  The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other. This left me with memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting  Napanda Safaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wolper Na Harmonize Wala Bata Serengeti Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top