Header Ads

Basi na Lori Vyateketea Baada ya Kugongana Kimara, Dar

October 30  2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria liitwalo Safari Njema lenye namba ya usajili T 990 AQF ambalo limegongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ na kusababisha kuwaka kwa magari hayo yote mawili na kupelekea kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.

‘Idadi ya Majeruhi ni 10 na mwili mmoja wa abiria aliyeungua katika basi hilo lililokuwa likitokea Dodoma liitwalo Safari Njema na kugongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ, chanzo ni uzembe wa madereva hao wote wawili ambao katika eneo la tukio hawakuwepo kwahiyo mengineyo tuachie Jeshi la Polisi’
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.


.

No comments