Header Ads

Chelsea Yaipiga Leicester City bao 3-0, Diego Costa, Eden Hazard na Victor Moses Watupia


vpl-4
Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria na Chelsea,  Moses  akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 80 kipindi cha pili dhidi ya Leicester City katika Uwanja wa Stamford Bridge leo. Chelsea wameshinda bao 3-0.
vpl-3
Mshambuliaji wa Chelsea, Hazard (pili kutoka kushoto) akishangilia baada ya kufumga bao la pili kabla ya mapumziko.
vpl-9
…Wachezaji wa Chelsea wakishangila kwa pamoja.
vpl-7
Luiz kipiga mpira kwa mbwembe.
vpl-8
Mashabiki wa Chelsea wakishangilia.
vpl-1
Kocha wa Chelsea, Antonio Conte akiwaelekeza wachezaji wake (hawapo pichani).
vpl-6
Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri.
CHELSEA (3-4-3): Courtois 6; Azpilicueta 7, Luiz 7.5, Cahill 6; Moses 7.5 (Aina 82), Kante 8.5, Matic 8, Alonso 7; Pedro 7 (Chalobah 68, 6.5), Costa 8, Hazard 7.5 (Loftus-Cheek 81).
Subs not used: Begovic, Terry, Solanke, Batshuayi.
Booked: Azpilicueta.
Scorers: Costa 7, Hazard 33, Moses 80.
Manager: Antonio Conte
LEICESTER CITY (4-4-2): Schmeichel 6; Hernandez 5, Morgan 5, Huth 6, Fuchs 5; Schlupp 5 (Mahrez 67, 5), Drinkwater 6, Amartey 5, Albrighton 6 (King 74, 5); Musa 5 (Slimani 67, 4), Vardy 5.
Subs not used: Zieler, Simpson, Gray, Ulloa.
Booked: Huth. 
Manager: Claudio Ranieri 6.
Referee: Andre Marriner 6.5.No comments