• Latest News

  October 01, 2016

  Diamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2

  AKIONGEA KUPITIA KITUO CHA TELEVISION CHA CLOUDS TV KUPITIA KIPINDI CHA SHILAWADU ,ALIULIZWA SWALI KUHUSU GHARAMA YA PAGE YAKE KAMA AKITAKA KUIUZA..BILA KUTAFUNA MANENO DIAMOND ALISEMA PAGE YAKE ANAWEZA KUUZA KWA BEI YA DOLA MILIONI 2 SAWA NA TSH BILIONI 4 ZA KITANZANIA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Diamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top