• Latest News

  October 02, 2016

  Diamond Platnumz abaki na nguo ya ndani 'boxer' wakati akisherekea birthday yake


  Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya mama watoto wake, Zari.
  diamond

  Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.

  Pia mastaa mbalimbali walimtumia salamu za heri na baraka staa huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’.

  Rich Mavoko
  Happy Birthday Big Nna Zawadi Yako Ya Gari Lakini La Udongo 😂😂 So Wambie Hao Wanaokumwagia Maji Nikilileta Waache Kwanza

  Harmonize
  Happy birthday my brother #simbaa nikisema niandike mengi sitomaliza ila unajuwa vyenye nakuzimia na na kukuheshimu….🙏🙏🙏 maisha marefu furahiya siku yako 🎂🔥🔥

  Rayvanny
  Jus me and birthday boy @diamondplatnumz Bigie Mungu Akupe Maisha Marefu ndugu yangu maana ukinasa hatunasuliki mwiiiiiiiiingiiiiiiiii wa materials enjoy your day
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Diamond Platnumz abaki na nguo ya ndani 'boxer' wakati akisherekea birthday yake Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top