• Latest News

  October 22, 2016

  EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA

  MWENYEKITI WA YANGA, YUSUF MANJI
  Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika kesho Jumapili.


  Taarifa za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd, wamefikishiwa taarifa hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: EXCLUSIVE: MAHAKAMA YAPIGA STOP MKUTANO WA DHARURA WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top