Header Ads

GRIEZMANN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI ANAYEPENDWA ZAIDI NA MASHABIKI LA LIGA


Mshambuliaji, Antoine Griezmann ndiye mwanasoka anayependwa zaidi na mashabiki katika Ligi Kuu Hispania.

Griezmann ameshinda tuzo hiyo katika La Liga kwa msimu uliopita wa 2015-16.


Kawaida tuzo hiyo, mchezaji huchaguliwa na mashabiki, anayepata kura nyingi ndiye anakuwa mshindi

No comments