• Latest News

  October 02, 2016

  GUARDIOLA AKARIBISHWA ENGLAND MAN CITY IKIBUTULIWA MABAO 2-0 NA TOTTENHAM


  Man City imeanza kuonja uchungu wa kipigo baada ya kupoteza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu England kwa kupigwa mabao 2-0 na Tottenham.

  Man City inayonlewa na Kocha Pep Guardiola, ilionyesha soka safi lakini ikashindwa kuzuia kipigo cha mabao 2-0, huku beki wake Aleksandar Kolarov akianza kwa kujifunga katika dakika ya 9.

  Suprs waliendelea kuwa Man City presha kubwa hadi Dele Alli alipofunga bao la pili katika dakika ya 37.


  Vijana hao wa London waliokuwa nyumbani White Hart Lane, wangeweza kufunga bao la tatu katika dakika ya 65, lakini penalti iliyopigwa na Erik Lemela ikaokolewa na kipa Bravo kwa ufundi mkubwa.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: GUARDIOLA AKARIBISHWA ENGLAND MAN CITY IKIBUTULIWA MABAO 2-0 NA TOTTENHAM Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top