Header Ads

Hizi Ndizo Shule Zilizofanya Udanganyifu Kwenye Mtihani wa Darasa la 7

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk. Charles Msonde akitangaza matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi 2016, mapema leo.
2
… Msonde akionyesha baadhi ya nguo za wanafunzi zilizokamatwa katika kipindi cha mitihani zikiwa zimeandikwa majibu ya mitihani hiyo.
3
…Akionyesha kaptula ya mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Tumaini iliyopo Wilaya ya Sengerema yenye majibu ya maswali ya mtihani wa Darasa la Saba iliyokamatwa.
4
… Akionyesha karatasi ya mfano wa majibu inayoonyesha baadhi  ya wanafunzi yenye ufanano wa aina moja katika shule.
5
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
psle1 psle2 psle3

No comments