• Latest News

  October 17, 2016

  Jackline wolper afunguka kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu…

  Ni October 16 2016 ambapo msanii kutoka kwenye tasnia ya Filamu Jackline Wolper  aliingia kwenye kikaango cha mashabiki wake baada ya kupost picha ikionesha ana ujauzito huku wengi wakiwa na maswali tofauti.

  Sasa basi staa huyo aliamua kuyaandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema>>Hatimaye nikakavua kale kAmkanda nakukatua kaa mkanda kametengeneza mimba yamiezi mitatu wakti ndo kwanza mwezi Mkanda leo ndo mwisho wako tena nakuacha huku huku china ndege aupandi bhana’
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Jackline wolper afunguka kuhusu wanaosema ana mimba ya miezi mitatu… Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top