• Latest News

  October 27, 2016

  JOSE MOURINHO, PEP GUARDIOLA FULL KICHEKO  Hawa wawili ni wapinzani wakubwa, Jose Mourinho na Pep Guardiola, lakini ni uwanjani. Nje ya uwanja ni watu wanaofahamiana maana walifanya kazi pamoja katika kikosi cha Barcelona, Mourinho akiwa kocha msaidizi na Guardiola akiwa mchezaji, tena nahodha.

  Baadaye wakaonyeshana kazi mmoja akiwa Real Madrid na mwingine FC Barcelona. Sasa Mourinho yuko Man United na Guardiola yuko Man City, upinzani unaendelea.

  Mourinho safari hii ilikuwa ni zamu yake ya ushindi, ameshinda kwa bao 1-0 dhidi ya Guardiola, hakuna ubishi, soka raha sana, hasa ukiwa hauna hasira.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: JOSE MOURINHO, PEP GUARDIOLA FULL KICHEKO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top