• Latest News

  October 25, 2016

  KIUNGO BORA WA LA LIGA, TUZO YAENDA KWA MIDO 'KISHETI' LA LIGA NZIMA

  Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric ameshinda tuzo ya kiungo bora wa La Liga kwa msimu wa 2015-16.


  Modric ambaye msimu huu amekuwa akisumbuliwa na majeruhi, ndiye ameibuka bora na kuwabwaga wengine kutoka Barcelona na Atletico Madrid.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIUNGO BORA WA LA LIGA, TUZO YAENDA KWA MIDO 'KISHETI' LA LIGA NZIMA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top