• Latest News

  October 25, 2016

  LUIS SUAREZ, MCHEZAJI BORA WA DUNIA KUTOKEA LA LIGA


  Mshambuliaji nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa dunia kwenye La Liga.

  Tuzo hiyo ni kwa ajili ya msimu wa 2015-16 kwa wachezaji wa La Liga.

  Tuzo hiyo hujumuisha mchezaji anayezungumzwa au aliye gumzo zaidi katika sehemu mbalimbali duniani lakini anatokea kwenye La Liga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: LUIS SUAREZ, MCHEZAJI BORA WA DUNIA KUTOKEA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top