• Latest News

  October 15, 2016

  Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Mwaka Wa Masomo 2016/2017----(Awamu ya Kwanza)


  Bodi ya mikopo ya elimu ya juu wametangaza majina ya wanafunzi waliopata mkopo 2016/2017 awamu ya kwanza.
  Hapa ni link ya kuangalia kama umepata au laah unaandika namba ya form 4 na code walizokupa hapo.

  Kumbuka format ya form 4 no. ni s0001.0001.0001 na sio s0001/0001/0001

  Link hii hapa http://olas.heslb.go.tz/index.php/allocation/allocations/fresher_login
   
  Chini limeambatanishwa FILE la Orodha ya Waliopata Mkopo 2016/17  
  1.First List Of Loan Beneficiaries For Academic Year 2016/2017. << Click here>>
    


  2.First Year Loan Allocations Breakdown for 2016/17 . <<Click here>>

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Majina Ya Wanafunzi Waliopata Mkopo Mwaka Wa Masomo 2016/2017----(Awamu ya Kwanza) Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top