• Latest News

  October 24, 2016

  MAKUNDI MAWILI YA TUZO YA BALLON D'OR YAMETANGAZWA, BALE, RONALDO WAYAONGOZA  Wanatarajia kutangazwa wachezaji 30 katika tuzo ya mwanasoka bora duniani ambayo imerejeswa na itaendelea kusimamiwa na jarida la France Footbal.

  Kabla ya kwisha mwaka huu, mshindi atakuwa amepatikana na imekuwa ikiendelea kutangazwa kwa makundi na baadaye utafanyika mchujo.

  Makundi mawili ni kama ifuatavyo..

  Kundi la kwanza la Ballon d’Or ni..
  Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon (Juventus), Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
  Kundi la pili la Ballon d’Or ni..
  Kevin De Bruyne (Manchester City)
  Paulo Dybala (Juventus)
  Diego Godin (Atlético Madrid)
  Antoine Griezmann (Atlético Madrid)

  Gonzalo Higuain (Napoli/Juventus)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKUNDI MAWILI YA TUZO YA BALLON D'OR YAMETANGAZWA, BALE, RONALDO WAYAONGOZA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top