• Latest News

  October 20, 2016

  Makundi ya Afcon 2017 Yatoka Kufanyika Gabon


  Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya AFCON 2017 nchini Gabon, kwa upande wa wakilishi wa ukanda wa Afrika Mashariki Uganda The Cranes wamepangwa Kundi D lenye timu za Ghana, Mali na Misri.
  Timu ya taifa ya Ivory Coast itapambana na kocha wake wa zamani Herve Renard baada ya kupangiwa katika kundi moja na Morocco katika michuano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika.
  maxresdefault_live
  Michuano hiyo ya AFCON 2017 itaanza rasmi January 14 2017 na kumalizika February 5 2017 nchini Gabon.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Makundi ya Afcon 2017 Yatoka Kufanyika Gabon Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top