Header Ads

MESSI NDIYE MSHAMBULIAJI HATARI ZAIDI LA LIGA MSIMU WA 2015-16


Mshambuliaji Bora wa Ligi Kuu Hispania, La Liga ni Muargentina, Lionel Messi ambaye ni nahodha namba mbili wa FC Barcelona.

Messi amebeba tuzo hiyo na kuwashinda akiwemo Luis Suarez na Artiz Aduriz wa Atletico Madrid.

No comments