• Latest News

  October 24, 2016

  Mmiliki wa Mtandao wa Wikileaks afariki Dunia


  Mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Wikileaks, Gavin MacFadyen (76) amekutwa amefariki Jumamosi ambapo chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana.

  Mtandao wa Wikileaks umekuwa ukiibua mambo mbalimbali ya siri ya mgombea urais wa Marekani, Hillary Clinton.
  Wengi hawajayaamini kifo chake ambacho kimewastua na kuumiza mioyo ya watu wengi hasa pale wanapomkumbuka marehemu kama mwanzilishi wa kituo cha habari za uchunguzi (Centre for Investigative Journalism) mwaka 2003 ambapo wanahabari wengi wakubwa duniani wamejifunza hapo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mmiliki wa Mtandao wa Wikileaks afariki Dunia Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top