Header Ads

PAMOJA NA PLUIJM KUKUBALI KUREJEA YANGA, MWAMBUSI AENDELEA KUKINOA KIKOSI KUIWINDA

Huku Kocha Mkuu, Hans van der Pluijm kuamua kuendelea kuinoa Yanga baada ya kuangukiwa, Kocha Msaidizi Juma Mwambusi ameendelea kuifua Yanga, leo jioni.
Yanga imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru kujiandaa na mechi ya keshokutwa dhidi ya Mbao FC kwenye uwanja huu.


No comments