Header Ads

PICHA: MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1

Yanga dhidi ya Simba, leo ilikuwa bonge la mechi na limeisha kwa sare ya bao 1-1, Yanga wakianza kufunga kupitia Amissi Tambwe kabla ya Simba kusawazisha kupitia Shiza Kichuya. Cheki picha za action mambo yalivyokuwa.
No comments