• Latest News

  October 28, 2016

  TASWIRA ZA ANDRES INIESTA, GERARD PIQUE WAKISOTA NA MAJERAHA, WAENDELEA KUPIGA KAZI NYINGINE ZA KLABU  Gerard Pique na Andres Iniesta ni majeruhi na hawataitumikia Barcelona katika mechi zijazo kwa kipindi kadhaa, lakini wameendelea na kazi nyingine.

  Iniesta aliyeumia katika mechi dhidi ya Valencia na Pique aliyeumizwa na David Silva wa Man City, wameendelea kufanya kazi za matangazo ya magari ya Audi.

  Hii inaonyesha klabu hizo zilivyo busy na makini na zinaendelea kuingiza fedha kupitia wachezaji hao hats kama hawachezi.


  Wachezaji hao walijumuika na Lionel Messi kwa ajili ya utengenezaji wa tangazo la magari ya Audi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TASWIRA ZA ANDRES INIESTA, GERARD PIQUE WAKISOTA NA MAJERAHA, WAENDELEA KUPIGA KAZI NYINGINE ZA KLABU Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top