Header Ads

UNAKOSAJE SALE YA KWANZA YA TECNO PHANTOM 6

Kuwa wa kwanza kumiliki kifaa kipya cha Phantom 6 kilichozinduliwa hivi karibuni katika jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa katika sale ya kwanza itakayofanyika katika viwanja vya City Mall Posta jijini Dar es Salaam. Phantom 6 inakuja na 32GB ROM, 3GB RAM na kamera mbili za nyuma zenye 13MP na 5MP,muonekano wa kuvutia pamoja na uwezo wake wa ajabu wa kuingiza chaji kwa haraka zaidi na kutunza chaji kwa muda mrefu. 

Kwa kununua Phantom 6 katika viwanja hivyo mteja atapata nafasi ya kujishindia zawadi kem kem. 

Mbali na Phantom 6 kavu pia kutakuwa na mauzo ya Phantom 6 Plus ambazo kwa pamoja zilizinduliwa Dubai usiku wa kuamkia Septemba 26. 

Hizi ndio zawadi kwa wateja watakaonunua Phantom 6 1. 
Kupata zawadi za TECNO kama T-Shirt, T-Band, begi na Selfie stick 2. 

Kushiriki katika bahati nasibu na kupata nafasi ya kujishindia tiketi za kuangalia filamu, Winpad, Power bank na Kamera ya kupaa ( Drone) 3. 

Kushiriki katika ulengaji wa puto na kupata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali Ndege hii ya kupataa itazawadiwa kwa mteja mmojawapo miongoni mwa wateja watakaojitokeza tarehe 8 Oktoba katika sale ya kwanza ya Tecno Phantom 6.  
Kwa taarifa zaidi unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno.
Facebook: www.facebook.com/TECNOMobileTanzania
Instagram: www.instagram.com/tecnomobiletanzania
Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

No comments