• Latest News

  October 27, 2016

  WEST HAM UNITED YAIPA KICHAPO CHELSEA KOMBE LA EFL


  Chelsea wamekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham United katika mechi ya Kombe la EFL.

  Chelsea wakiwa ugenini walianza kukubali kufungwa katika dakika ya 11 kupitia Cheykhou Koutate na Edimilson Fernandes akashindilia msumari wa pili katika dakika ya 48.

  Garry Cahill, mlinzi mwenye mwili mkubwa ndiye aliifungia Chelsea bao lake la kufutia machozi katika dakika ya 90.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WEST HAM UNITED YAIPA KICHAPO CHELSEA KOMBE LA EFL Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top