Header Ads

Yanga Yamwangukia Kocha Hans van Pluijm Kujiuzulu, Yamuomba Arejee Klabuni

yanga
DAR ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni barua ambayo uongozi wa klabu hiyo umemuandikia kukataa ombi lake la kutaka kuachia ngazi.
Pluijm aliandika barua kujizulu Oktoba 22, 2016 baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina raia wa Zambia.
van-pluijmIli kumrejesha Hans van Pluijm ndani ya klabu hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na kocha huyo kumsihi kutojiuzulu nafasi ya Kocha Mkuu wa Yanga.

No comments