• Latest News

  November 24, 2016

  BAADA YA MUDA, YANGA SASA KUMTAMBULISHA LWANDAMINA KESHO


  LWANDAMINA (KUSHOTO) AKIWA NA MMILIKI WA BLOG YA SALEHJEMBE, SALEH ALLY.

  Uongozi wa Yanga sasa umepanga kumtangaza Kocha wake mpya George Lwandamina.

  Lwandamina raia wa Zambia, anatarajia kutambulishwa kesho kwenye makao makuu ya Yanga.

  Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga imeelezwa ndiye atakayefanya zoezi hilo kesho.

  Lwandamina amechukua nafasi ya Hans van der Pluijm ambaye sasa anakuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BAADA YA MUDA, YANGA SASA KUMTAMBULISHA LWANDAMINA KESHO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top