• Latest News

  November 23, 2016

  Basata Kuhakiki Video Mpya Ya Rich Mavoko Ft Diamond Platnumz - Kokoro kuona kama wanawake wamedhalilishwa

  BASATA wamekuwa wakiwafungia wasanii wengi wanaokiuka maadili ya sanaa ambapo miongoni mwa wasanii wengi waliofungiwa ni pamoja na Nay wa Mitego, Snura huku wengine wakipewa onyo na video nyingine kuzuiwa kuchezwa mchana kwa mfano Zigo Remix ya AY Ft. Diamond Platnumz na Asanteni Kwa Kuja ya Mwana FA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Basata Kuhakiki Video Mpya Ya Rich Mavoko Ft Diamond Platnumz - Kokoro kuona kama wanawake wamedhalilishwa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top