Header Ads

CHANGAMKIA OFA YA BLACK FRIDAY KUTOKA TECNO NA JUMIA UJISHINDIE VOCHA ZA CHAKULATecno wanakuletea ofay ya #BlackFriday kwa kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu.

Wateja watafaidika kwa njia mbaimbali kupitia ushiriano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa. Wateja watakaonunua simu mpya za PHANTOM 6 na PHANTOM 6 Plus watapata kuponi zitakazowawezesha kuagiza chakula popote ambapo kampuni ya Jumia inafanya kazi utaratibu huu umeanza rasmi 1/11/2016 ambapo pia wateja wa Jumia watakapoagiza chakula kupitia programu (Application) inayopatikana katika mfumo wa android watapata nafasi ya kushinda simu ya PHANTOM 6 na zawadi zingine kemkem zitakazo tolewa na kampuni ya JUMIA kwa hisani ya TECNO MOBILE LIMITED

 
Katika mwezi huu wa Novemba na Desemba kuna nafasi kubwa kwa wateja wa kampunia hizi mbili kufurahia ofa kabambe, nunua simu za TECNO PHANTOM 6 katika maduka yote yaliyopo nchini kote upate kujishindia zawadi kutoka JUMIA na TECNO MOBILE LIMITED. Usikose Fursa Hii!

Pitia kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania/?fref=ts

Instagram: https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/

Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

 

No comments