Header Ads

Chemical – Mary Mary (Official Music Video)


Rapa wa kike anayekimbiza Bongo, Chemical, jana ameachia kichupa cha wimbo wake mpya uitwao Marry Marry, ngoma aliyoifanyia kwenye studio za Kwanza Records chini ya Producer, Maximizer. Pia video hiyo imeandaliwa na Director MIMS.
Icheki hapa ngoma hiyo.

No comments