Header Ads

Diamond Kupiga shoo Kali Mkesha wa X-Mass kushukuru Mashabiki wake


STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul “Diamond Platnumz” ametoa shukrani zake kwa mashabiki wote waliofanikisha ajinyakulie tuzo tatu kutoka tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa juzi Jumapili jijini Lagos, Nigeria.
Tuzo alizoshinda staa huyo ni pamoja na WIMBO BORA YA MWAKA AFRIKA- UTANIPENDA, MSANII BORA WA AFRO POP AFRIKA na MSANII BORA WA AFRIKA MASHARIKI.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond amewashukuru hivi mashabiki;

No comments