Header Ads

GIGY MONEY AMUWEKA WAZI MPENZI WAKE USIKU WA KUAMKIA LEO

Hapa akifanya yake na mpenzi wake huyo baada ya kukabidhiwa tuzo.
Gift Stanford ‘Gigy Money’ usiku wa kuamkia leo amemuweka wazi mpenzi wake Mo J anayetangaza nae katika CHOICE FM hope atafika naye mbali.

Tuzo aliyoshinda gigy Money kama Video Vixen bora wa Instagram.

No comments