Header Ads

KAMPUNI YA WAJAPANI YAIJAZA BARCELONA MAMILIONI, KUANZIA MSIMU UJAO NDIYO WADHAMINI WAPYA KIFUANI


HIROSHI MIKITAN (KULIA) AMBAYE NI MMLIKI WA KAMPUNI YA RAKUTEN AKIWA NA RAIS WA BARCELONA BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA

Klabu ya Barcelona imesaini mkataba mpya na mdhamini aitwaye Rakuten kutoka nchini Japan.


Rakuten ni kampuni ya kuuza bidhaa kupitia mtandaoni na imekubali kumwaga vuba la pauni million 200 kwa mkataba wa miaka minne.

Kuanzia msimu ujao, jezi za Barcelona zitakuwa na nembo ya Rakuten kifuani na kuiacha lie ya Qatar Airways ambalo ni shirika kubwa zaidi.


Imeeleza beki Gerard Pique ambaye alifanyiwa mahojiano na SALEHJEMBE ndiye aliyezungumza na mmlili wa Rakuten hadi mwisho wakafikia dili hilo.

No comments