Header Ads

Kuagwa kwa Marehemu Samwel Sitta: Ungana kufuatilia yanayojiri kutoka Bungeni Live.

Leo Bunge linahitimishwa kwa kufanyika kikao cha mwisho, miongoni mwa shughuli za leo ni kuaga mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Marehemu Samwel Sitta.

No comments