• Latest News

    November 17, 2016

    MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK


    Baada ya kufanya kimyakimya kazi ya upromota, sasa bondia nyota Floyd Mayweather ameamua kufanya hadharani.


    Mayweather ambaye alitangaza kustaafu baada ya kushinda mapambano 49, ameonekana akisimamia pambano la mabondia Badou Jack  (kushoto) na James DeGale (kulia) akiwa ni promota.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 maoni:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAYWEATHER SASA AAMUA KUWA PROMOTA WAZIWAZI, ASIMAMIA PAMBANO LA DEGALE VS JACK Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie Online
    Scroll to Top