Header Ads

MPENZI MPYA WA CRISTIANO RONALDO GUMZO, AONEKANA NAYE JIJINI PARIS

Baada ya kujificha muda mrefu, hatimaye Cristiano Ronaldo ameonekana akiwa na mpenzi wake moya aitwaye, Georgina Rodriguez.

Ronaldo na mpenzi wake huyo mpya wameonekana mjini Paris, Ufaransa na kuzua gumzo kubwa, jana.
Lakini kilichowashangaza wengi zaidi ni Ronaldo kuvaa nguo zilizomficha akionekana alilenga kukwepa kujulikana.

No comments