Header Ads

MVUA YAFUNIKA BARABARA JIJINI DAR LEOMVUA iliyoanza kunyesha leo asubuhi katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam imesababisha adha kwa watembea kwa miguu na magari kufuatia barabara kadhaa zikiwemo za maeneo ya posta kutopitika kwa urahisi kutokana na kufurika maji.
Kutokana na mvua hizo, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwamba  zinatokana na msimu wa upepo wa LANINA na hivyo zitaendelea kunyesha hadi Desemba 2016.

No comments