Header Ads

Picha tano za kusisimua mkutano wa Trump na Obama

Wawili hao walishauriana kwa zaidi ya saa moja afisi ya rais katika ikulu ya White House mnamo Alhamisi na walipojitokeza kwa wanahabari, walijaribu kuficha uadui kati yao.
Waliongea maneno mazuri kuhusu umoja na umuhimu wa kupokezana madaraka kwa amani.
Lakini picha zilizopigwa zinaonesha jambo tofauti, ukiangalia sura na mikono

Melania Trump na Michelle Obama wakiwa ikulu ya White House

No comments