Header Ads

Rastaman achukua mikoba ya Gardiner G Habash kwa Lady Jaydee


Wakiwa katika mazungumzo matamatam katika Hoteli ya Serena visiwani Zanzibar.

STAA wa Bongo Fleva, Lady Jaydee 'Anaconda'  amenaswa akijiachia na Rastaman huyo sehemu mbalimbali wakiwa pamoja tokea  aachane na aliyekuwa  mume wake mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,  Gardiner G Habash.

Picha hizo zimeibua sitofahamu kwa mashabiki wake wakijiuliza kweli Rastaman huyo  ndiye shemeji yao? Mtandao huu ulijaribu kumtafuta meneja wa msanii huyo Seven kwa kumpigia simu hakupokea na tuliamua kumtumia meseji mpaka tunziweka picha hizi alikuwa ajatoa majibu.

No comments