• Latest News

  November 29, 2016

  SASA UHAKIKA COUTINHO NJE LIVERPOOL MWEZI MMOJA NA WIKI

   
  Kiungo nyota wa Liverpool hatafanyiwa upasuaji baada ya kuumia enka katika mechi iliyopita.

  Lakini kuna mechi zifuatazo ambazo hakuna mjadala lazima atazikosa kwa kuwa atakaa nje kwa wiki sita au mwezi mmoja na nusu.

  Leeds United (H) EFL Cup quarter final - November 29
  Bournemouth (A) PL -  December 4
  West Ham (H) PL -  December 11
  Middlesbrough (A) PL - December 14
  Everton (A) PL - December 19
  Stoke (H) PL - December 27
  Manchester City (H) PL - December 31
  Sunderland (A) PL - January 2 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SASA UHAKIKA COUTINHO NJE LIVERPOOL MWEZI MMOJA NA WIKI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top