• Latest News

  November 13, 2016

  TAIFA STARS WAPO KAMILI KWA AJILI YA KUWAPA KAZI ZIMBABWE


  Kikosi cha Taifa Stars kilitua salama na wachezaji wako tayari kwa ajili ya kuwavaa wapinzani wao Zimbabwe katika mechi ya kirafiki mjini Harare, leo.

  Stard imesafiri hadi mjini humo kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wake hao na tayari imefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mechi hiyo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAPO KAMILI KWA AJILI YA KUWAPA KAZI ZIMBABWE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top