• Latest News

  November 08, 2016

  TANZIA: Aliyekuwa mbunge wa Mufindi na Waziri wa elimu awamu ya tatu, Joseph Mungai afariki dunia  Joseph Mungai enzi za uhai wake
  Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na Mbunge wa Mufindi amefariki dunia.!

  Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.

  Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943


  Chanzo: Jamiiforums.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZIA: Aliyekuwa mbunge wa Mufindi na Waziri wa elimu awamu ya tatu, Joseph Mungai afariki dunia Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top