• Latest News

  November 18, 2016

  Tecno Hawa Hapa Tena….Uko Tayari Kwa Jambo Kubwa?

  Kampuni inayoongozwa kwa kuuza simu bora na imara kwa bei nafuu, Tecno kila siku wanaumiza vichwa kuhakikisha kwamba una sababu kibao za kuendelea kufurahia bidhaa za huduma zao. 

  Baada ya kukuletea simu kali mbili zilizotoka kwa mpigo, Phantom 6 na Phantom 6 Plus ambazo zimekuja kuteka soko la simu zikiwa na prosesa kali, kuchaji kwa haraka na moja ikiwa na Kamera mbili. 

  Sasa Tecno wanachokuletea kingine kipya cha aina yake, tetesi zilizopo ni kwamba hili ni dili litakalowawezesha wateja wake kukwea pipa kwenda majuu.

  Kwenye soka kuna nyakati mbili, kuna msimu wa mpira na wakati wa kusubiri msimu wa mpira. JE, UKO TAYARI KWA JAMBO KUBWA KUTOKA TECNO? #TheNextBigThing
  Endelea kutembelea mitandao ya kijamii ya Tecno Mobile Tanzania kufahamu jambo hili kubwa ambalo linakujia ndani ya siku chache zijazo.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Tecno Hawa Hapa Tena….Uko Tayari Kwa Jambo Kubwa? Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top