• Latest News

  November 01, 2016

  THOMAS MASHALI SASA KUZIKWA KESHO JUMATANO


  Mazishi ya bondia Thomas Mashali aliyeuwawa yanatarajia kufanyika keshokutwa jijini Dar es Salaam.

  Baba mzazi wa Mashali amesema wameamua kufanya mazishi hayo Jumatano kwa kuwa wanapisha uchunguzi wa polisi.

  “Tumewaachia kidogo polisi wamalizie kazi yao, lakini mazishi yatakuwa Jumatano badala ya Jumanne kama ilivyokuwa hapo,” alisema.


  Msiba wa bondia huyo ambaye ameuwawa na watu wasiojulikana uko kwao Tandale jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: THOMAS MASHALI SASA KUZIKWA KESHO JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top